Umbali tumetoka na Mahali Tumefika ndo maana Natambua kwamba wewe n ebenneza Sio kwa uwezo Wangu ila n kwa uwezo wako Mahali nimefika baba acha nikushukuru Ebwana umenisaidia nifike mahali nimefika Bwana wewe ni ebeneza Maishani mwangu Ninataka ebeneza Nijenge juu yako Ninataka ebeneza uwe msingi wangu Jiwe langu la pembeni Nakutamani sana Jiwe langu la thamani Nakuhitaji sana Oooh ebeneza jiwe langu Mimi nataka maisha yangu Yajengwe juu yako Ninataka ndoa yangu Ijengwe juu yako baba Ndoa zilizojengwa juu yako yahwe Hazivunjiki kamwe Nyumba zilizojengwa juu yako yahwe ...
Download sophia mulemba - "Ebenezer (Angela Chibalonza Cover)" free | Listen online